Keywords (1)

Academic
Publications
Lugha Kama Kitambulisho: Changamoto ya Sheng Nchini Kenya

Lugha Kama Kitambulisho: Changamoto ya Sheng Nchini Kenya,KITULA KING' EI,JOHN KOBIA

Lugha Kama Kitambulisho: Changamoto ya Sheng Nchini Kenya   (Citations: 1)
BibTex | RIS | RefWorks Download
The paper takes a critical look at the fast developing and spreading Kenyan street slang, popularly known as "Sheng", which basically is a youth code that makes use of coined or borrowed words from Kiswahili, English and other local languages. Sheng adopts the structure of Kiswahili syntax. After tracing the historical origins of the urban youth code which now has speakers in the country side and as far afield as Dar es Salaam, Tanzania, the discussion shifts to the assessment of the negative impacts of sheng on the learning and teaching of standard Kiswahili and especially, English in Kenya. It concludes by raising crucial questions and issues that need to be considered in an attempt to contain usage of sheng and mitigate its negative effects on the national and official languages which are the medium of formal education and business. 1. UTANGULIZI Mnamo mwaka wa 2001, msomaji mmoja alimwandikia mhariri wa gazeti fulani la kila siku nchini Kenya barua akilalamikia kushuka kwa kiwango cha ufasaha katika matumizi ya lugha ya Kiswahili. Alishangaa kwa nini lugha hii ambayo ndiyo lugha ya taifa na pia Kiingereza, lugha rasmi zimedharauliwa na kupuuzwa na Wakenya wengi kiasi cha kuzungumzwa kiholela. Alilalama kwamba ijapokuwa tumeirithi lugha ya kupendeza ya Kiswahili kutoka kwa wahenga na tunawajibika kuikuza na kuilinda badala ya kuibananga, kile ambacho tutawarithisha wanetu ni kinyume cha kile tulichokirithi, kwani tutawapa lugha duni iliyoyumbishwa kwa matumizi yasiyostahili. Alizidi kusema kuwa ingawa ni kweli Kiingereza kinazikalia lugha nyingine zote duniani ikiwemo Kiswahili, pana haja kuu ya kuchunguza hadhi na mahali pa Kiswahili, lugha ambayo ina heshima ya kipekee barani Afrika. Sote tunawajibika kuijenga lugha hii kwani ni muhali na ajabu kuu kwamba
Cumulative Annual
View Publication
The following links allow you to view full publications. These links are maintained by other sources not affiliated with Microsoft Academic Search.
Sort by: